MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Kiwanda cha Kuchakata Pamba cha Biosustain Tanzania Limited, kilichoko Kata ya Mwamishali, Wilaya ya Meatu, leo Jumanne tarehe 17 Juni 2025, akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu.

06/17/2025
0 Comment
4 Views
DKT. SAMIA AFUNGUA KIWANDA CHA KUCHAKATA PAMBA MEATU
by 4dmin