28/06/2025 0 Comment 116 Views WAZIRI PROF. MKENDA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA ROMBO by 4dmin WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Rombo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, Massoud MeliMeli PBPA YATOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU UAGIZAJI MAFUTA NANENANE Dkt. Nchimbi Atikisa Kampeni Mwenbe Yanga jijini Dar WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Rombo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, Massoud MeliMeli SHARE Matukio Habari