Na Pamela Mollel, Arumeru
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arumeru, Noel Severe, amerejesha rasmi fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo, Julai 2, 2025.
Akizungumza mara baada ya kurejesha fomu, Severe alisema: “Namtegemea Mungu, tusubiri maamuzi na maelekezo ya chama, maana yote yanafanywa na Chama Cha Mapinduzi.”
Severe alishawahi kuongoza kura za maoni katika uchaguzi wa mwaka 2020