Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Taasisi ya Korea Infrastructure Finance Corporation (K-FINCO) Dkt. Eun-Jae Lee aliyeambatana na ujumbe wa makampuni 11 makubwa ya ujenzi ya Korea, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 26 Julai, 2025.

