Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Ufunguzi wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Utekelezaji wa Itifaki ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika Dhidi ya Rushwa, kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gran Melia, jijini Arusha Agosti 13, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea tuzo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stegomena Tax ya kutambua mchango wake katika utekelezaji wa Itifaki ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika Dhidi ya Rushwa, kwenye Ufunguzi wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Utekelezaji wa Itifaki ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika Dhidi ya Rushwa, kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gran Melia, jijini Arusha Agosti 13, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea tuzo kutoka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stegomena Tax ya kutambua mchango wake katika utekelezaji wa Itifaki ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika Dhidi ya Rushwa, kwenye Ufunguzi wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Utekelezaji wa Itifaki ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika Dhidi ya Rushwa, kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gran Melia, jijini Arusha Agosti 13, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)