

Katika mchuano mkali wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Buchosa, wimbi jipya la siasa limemshuhudia aliyekuwa Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo akiongoza kata nyingi dhidi ya aliyewahi kuwa Waziri wa Kilimo na Mbunge, Dkt. Charles Tizeba.
Matokeo ya Kata kwa Kata (Yaliyotangazwa):
-
Bupandwa – Shigongo: 430 | Tizeba: 32
-
Katwe – Shigongo: 362 | Tizeba: 73
-
Bangwe – Shigongo: 312 | Tizeba: 76
-
Nyehunge – Shigongo: 550 | Tizeba: 150
-
Luharanyonga – Shigongo: 184 | Tizeba: 141
-
Kalebezo – Shigongo: 632 | Tizeba: 118
-
Kafunzo – Shigongo: 334 | Tizeba: 133
-
Maisome (Kisiwa) – Shigongo: 217 | Tizeba: 150
-
Iligamba – Shigongo: 420 | Tizeba: 20
-
Kasisa – Shigongo: 187 | Tizeba: 260
-
Nyakarilo – Shigongo: 393 | Tizeba: 19
-
Nyakasasa (Kisiwa) – Shigongo: 125 | Tizeba: 351
-
Nyakasungwa – Shigongo: 180 | Tizeba: 202
-
Buhama (Kwao Tizeba) – Shigongo: 94 | Tizeba: 300
-
Bukokwa – Shigongo: 372 | Tizeba: 162
-
Lugata (Kwao Tizeba) – Uchaguzi utarudiwa (vurugu)
-
Ilenza – Uchaguzi utarudiwa (vurugu)
-
Bulyaheke – Shigongo: 600 | Tizeba: 400
-
Nyanzenda – Shigongo: 513 | Tizeba: 306
-
Bugoro – Shigongo: 173 | Tizeba: 102
-
Kazunzu – Uchaguzi utarudiwa