Nilipokuwa nikiketi kwenye kiti cha chumba cha huduma ya wateja ndani ya benki, nilihisi miguu ikikosa nguvu. Sauti ya mchunguzi wa benki ikiniuliza maswali ya kina kuhusu mali yangu ilinifanya nirudi nyuma kifikra—kumbukumbu ya maisha yangu ya zamani iliyojaa mateso na machozi.
Miaka michache iliyopita, nilikuwa mwanamke wa kawaida tu, nikiishi kwenye nyumba ya kupanga, nikitegemea mume wangu kwa kila kitu. Nilimpenda kwa moyo wote, lakini ghafla aliniacha bila hata maelezo. Aliondoka na kila kitu tulichokuwa tumekitengeneza pamoja: mali, akiba, na hata marafiki wa karibu walipotea. Nilibaki nikitafuta jibu, nikiwa na moyo uliovunjika vipande vipande….. SOMA ZAIDI