Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,
Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu
za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Union for Multiparty
Democracy (UMD), Mhe. Mwajuma Noty Mirambo. Mgombea huyo alichukua fomu hizo leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya
uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na
INEC).

Democracy (UMD), Mhe. Mwajuma Noty Mirambo. Mgombea huyo waaliambatana na
Mgombea Mwenza, Mhe. Mashavu Alawi Haji
(kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 11, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya

uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg.
Ramadhan Kailima. (Picha
na INEC).

Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mhe. Mwajuma Noty Mirambo na Mgombea Mwenza, Mhe. Mashavu Alawi Haji (kushoto) wakionesha mkoba wa fomu.
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mhe. Mwajuma Noty Mirambo
Mgombea Mwenza, Mhe. Mashavu Alawi Haji
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitoa maelezo.
Makamu Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mstaafu Mbarouk Salim Mbarouk akiwa katika ukumbi wa kutolea fomu.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akitoa maelezo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhani Kailima akimuelekeza namna ya kujaza kitabu mgombea.
Sehemu ya wanachama wa Chama cha UMD.
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mhe. Mwajuma Noty Mirambo akisaini kitabu.
Mgombea Mwenza, Mhe. Mashavu Alawi Haji akisaini kitabu.