Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua Kongamano la Nne la Madereva wa Serikali wa Tanzania kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Septemba 2, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma kufungua Kongamano la Nne la Madereva wa Serikali wa Tanzania, Septemba 2, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha tuzo maalum aliyoipokea kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kutambua mchango wa Rais katika maendeleo ya kada ya udereva serikalini. Tukio hilo lilifanyika baada ya Waziri Mkuu kufungua Kongamano la Nne la Madereva wa Serikali wa Tanzania kwenye kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Septemba 2, 2025. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)