Ameungana na wanawake wa wialaya ya Mkungara kufagia uwanja leo kwajili ya
Baadhi ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakiwa kwenye Tukio Maalum la kufagia uwanja kwa ajili ya kujiandaa na Uzindua wa Kampeni ya Uchaguzi Mkuu Tanzania 2025 Kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi Katika Viwanja vya vya Mwandege mkoa Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani,leo tarehe 06 septemba 2025.