22/09/2025 0 Comment 8 Views JENGO LAWAKA MOTO KARIAKOO by 4dmin Jengo refu linawaka moto katika Mtaa wa Nyamwezi na Narung’ombe, karibu na geti la kuingilia Shimoni Kariakoo. Jitihada za kuuzima unaendelea huku chanzo cha moto huo bado hakijafahamika, kaa karibu na Michuzi Media kukujuza zaidi WANANCHI BABATI WALIA WIZI WA MIFUGO. Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 13, 2025 Jengo refu linawaka moto katika Mtaa wa Nyamwezi na Narung’ombe, karibu na geti la kuingilia Shimoni Kariakoo. Jitihada za kuuzima unaendelea huku chanzo cha moto huo bado hakijafahamika, kaa karibu na Michuzi Media kukujuza zaidi SHARE Matukio Habari