Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Geita na baadae alifungua maonesho ya Teknolojia ya Madini kwenye viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan Mjini Geita, Septemba 22, 2025. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO 2717. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha Wachimbaji na Wachenjuaji Madini Mkoa wa Geita, Titus Charles alipotembelea banda la maonesho la chama hicho wakati alipofungua Maonesho ya Teknolojia ya Madini kwenye Viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan Mjini Geita, Septemba 22, 2025. Wa pili kulia ni Mkemia wa uchenjuaji madini, John Ngenda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO 2718 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mitambo ya uchenjuaji madini (CIP) katika banda la maonesho la Wachimbaji na Wachenjuaji Madini Mkoa wa Geita ( GEREMA) wakati alipofungua Maonesho ya Teknolojia ya Madini kwenye Viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan Mjini Geita, Septemba 22, 2025. Wa pili kulia ni Mkemia wa uchenjuaji madini, John Ngenda. (Picha na Ofisi ya Waziri mkuu)
PMO 2789 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha Wachimbaji na Wachenjuaji Madini Mkoa wa Geita, Titus Charles alipotembelea banda la maonesho la chama hecho wakati alipofungua Maonesho ya Teknolojia ya Madini kwenye Viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan Mjini Geita, Septemba 22, 2025. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita , Martin Shigela (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO 2829 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia uchongaji na uongezaji thamani madini uliokuwa ukifanywa na Emmanuel Brown alipotembelea banda la maonesho la Chama cha Wachimbaji Madini Wanawake Tanzania wakati alipofungua Maonesho ya Teknolojia ya Madini kwenye Viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan Mjini Geita, Septemba 22, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO 2876 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mtambo unaotumiwa na wachimbaji wadogo kubeba mawe na udongo kwenye migodi alipotembelea banda la maonesho la wachimbaji madini vijana wakati alipofungua Maonesho ya Teknolojia ya Madini kwenye Viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan Mjini Geita, Septemba 22, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO 2989 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi alipowasili kwenye viwanja vya maonesho vya Dkt. Samia Suluhu Hassan Mjini Geita kufungua Maonesho ya Teknolojia ya Madini Septemba 22, 2025. Wa pili kulia ni Mkemia wa uchenjuaji madini, John Ngenda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO 3009 Baadhi ya washiriki wa Maonesho ya ya Teknolojia ya Madini wakimpungia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasili kwenye viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan Mjini Geita kufungua maonesho hayo, Septemba 22, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO 3105 na PMO 3078 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua Maonesho ya Teknolojia ya Madini Kwenye viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan Mjini Geita, Septemba 22, 2025. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)