25/09/2025 0 Comment 74 Views ABBAS MWINYI, KAKA WA RAIS WA ZANZIBAR DR. HUSSEIN MWINYI, AMEFARIKI DUNIA. by 4dmin Marehemu alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Fuoni kupitia CCM na aliwahi pia kuwa Mbunge wa jimbo hilo kabla. Taarifa zaidi tutakuletea kadri tutakavyokuwa tunazipata kupitia mwandishi wetu aliyepo Zanzibar WAFANYABIASHARA SIMIYU WAOMBA ELIMU YA KODI IWE ENDELEVU Dkt. Kikwete Aunguruma Visiwani, Awataka Wazanzibari Walinde Amani na Maendeleo Marehemu alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Fuoni kupitia CCM na aliwahi pia kuwa Mbunge wa jimbo hilo kabla. Taarifa zaidi tutakuletea kadri tutakavyokuwa tunazipata kupitia mwandishi wetu aliyepo Zanzibar SHARE Matukio Habari