Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko alipowasili kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Ushirombo wilayani Bukombe ambapo alikuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani, Oktoba 3, 2025. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko alipowasili kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Ushirombo wilayani Bukombe ambapo alikuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani, Oktoba 3, 2025. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wakiingia kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Ushirombo wilayani Bukombe ambapo Waziri Mkuu alikuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani, Oktoba 3, 2025. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Marten Shigella. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Walimu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Ushirombo wilayani Bukombe, Oktoba 3, 2025. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Marten Shigella. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Ushirombo wilayani Bukombe, Oktoba 3, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko katika Maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Ushirombo wilayni Bukombe, Oktoba 3, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Washiriki wa Maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani wakiwasha tochi za Simu zao kuashiria kuwa elimu ni mwanga katika Maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Ushirombo wilayani Bukombe, Oktoba 3, 2025. Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wakimsikiliza Mkurugenzi wa Makampuni ya Jembe, Sebastian Ndege walipotembelea mabanda ya maonesho ya makampuni hayo katika Maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Duniani kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Ushirombo wilayani Bukombe, Oktoba 3, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)