
Burudani ya EPL imerudi tena leo kwa michezo mizito kutoka viwanja vya England. Meridianbet inakuletea odds kali zaidi na machaguo ya kipekee kwa kila pambano. Huu ndiyo wakati wa kubashiri na kushinda ukiwa na meridianbet, wakali wa ubashiri Duniani.
Mtanange wa kwanza unawashuhudia Nottingham Forest wakipambana na Chelsea saa 14:30. The Blues wanaingia uwanjani wakiwa na morali ya hali ya juu, lakini Forest hawako tayari kutoa alama kirahisi mbele ya mashabiki wao. Odds za Meridianbet ziko moto, chagua upande wako mapema.
Brighton dhidi ya Newcastle ni mchezo mwingine unaotazamiwa kwa jicho la pesa na wabashiri wote. Brighton wakiwa The American Express Community Stadium msimu huu wamepata ushindi mmoja pekee na wanatazamiwa kuutumia mchezo wa leo kurejesha makali yao wakiwa nyumbani. Odds za mchezo huu ni kubwa usikubali zikupite.
Meridianbet pia inakuletea michezo ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Pale Turf Moor, Burnley anakuwa mwenyeji wa Leeds United. Burnley anaingia mchezoni akiwa na hali mbaya sana kwani amefanikiwa kushinda mchezo mmoja pekee tangu kuanza kwa ligi msimu huu, huku Leeds wao wakishinda michezo miwili na kuwa nafasi ya 15 ya msimamo wa ligi. Meridianbet imekupa machaguo bora zaidi ya mchezo huu. Bashiri sasa.
Mtanange mkali sana unawakutanisha Crystal Palace dhidi ya Bournemouth. Hii ni mechi inayozikutanisha timu zenye ubora wa hali ya juu msimu huu. Bournemouth wapo nafasi ya nne wakiwa na alama 14 huku Crystal Palace wakiwa nafasi ya sita na alama zao 12. Utofauti wa alama mbili umewatenganisha miamba hawa na leo watatoana jasho aswa. Meridianbet haijabaki nyuma kwenye kuiongezea furaha mechi hii. Odds ni kubwa kwa ajili yako.
Mchezo mkubwa wa siku unapigwa Etihad Stadium, mwenyeji Manchester City akimkaribisha Everton. Tangu msimu wa 2021 mpaka sasa, Everton hajawa na rekodi ya kupata ushindi dhidi ya City, vipi leo ataweza kutengua historia akiwa ugenini. Amua mechi hii mapema kupitia Meridianbet.
Mikel Arteta anataka kuhakikisha nafasi yake kileleni mwa ligi kwa kuwapiga Fulham kwenye mchezo unaokamilisha ratiba ya siku ya leo. Arsenal wamekua na msimu bora wakishinda michezo mitano mpaka sasa na kupata sare moja huku akipoteza mchezo mmoja pia. Kwa watumiaji wa meridianbet, hii ni fursa kubwa ya ushindi kwa kusuka jamvi kwenye mchezo huu.