Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa tuzo maalum kwaajili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyotolewa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Pare wakati wa Ibada Maalum ya Jubilei ya Miaka 50 ya Dayosisi hiyo iliyofanyika Same Mkoani Kilimanjaro leo tarehe 19 Oktoba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa tuzo maalum iliyotolewa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Pare wakati wa Ibada Maalum ya Jubilei ya Miaka 50 ya Dayosisi hiyo iliyofanyika Same Mkoani Kilimanjaro leo tarehe 19 Oktoba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimkabidhi tuzo, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Pare, Askofu Charles Mjema kwa kutambua mchango wake katika Kanisa hilo, wakati wa Ibada Maalum ya Jubilei ya Miaka 50 ya Dayosisi hiyo iliyofanyika Same Mkoani Kilimanjaro leo tarehe 19 Oktoba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia mara baada ya Ibada Maalum ya Jubilei ya Miaka 50 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Pare, iliyofanyika Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro leo tarehe 19 Oktoba 2025.
PICHA D6
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu pamoja na Viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja na Maaskofu mbalimbali wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), mara baada ya Ibada Maalum ya Jubilei ya Miaka 50 ya Dayosisi ya Pare iliyofanyika Same Mkoani Kilimanjaro leo tarehe 19 Oktoba 2025.
PICHA D7
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwaaga waumini mbalimbali wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Pare mara baada ya Ibada Maalum ya Jubilei ya Miaka 50 ya Dayosisi ya hiyo, iliyofanyika Same Mkoani Kilimanjaro leo tarehe 19 Oktoba 2025.