Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas wa tatu kushoto,akikata utepe kabla ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa jengo la Biashara la Mbinga Dc Mall,kushoto Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Joseph Kashushura,wa pili kushoto Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvua Mary Makondo na wa tatu kulia Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Kisare Makori.







