

Nafasi ya Kazi: Customer Care
Tunakaribisha maombi kutoka kwa waombaji wenye sifa stahiki kwa ajili ya nafasi ya Customer Care. Mteule atakuwa na jukumu la kuhudumia wateja katika maduka yetu yaliyopo kwenye Malls mbalimbali, kuhakikisha huduma bora na kuongeza uzoefu mzuri wa mteja.
Majukumu ya Kazi
-
Kuwahudumia wateja kwa weledi na ustaarabu
-
Kujibu maswali na kutoa taarifa sahihi kwa wateja
-
Kuhakikisha mazingira ya huduma yako bora na yenye kuridhisha
-
Kufanya mawasiliano mazuri na timu na kufuata taratibu za kazi
-
Kuwakilisha kampuni kwa umakini na nidhamu
Vigezo vya Muombaji
-
Awe na uelewa mzuri wa mawasiliano (Good communication skills)
-
Awe na huduma bora kwa wateja (Customer care skills)
-
Awe na uwezo wa kuongea vizuri na kushughulika na wateja
-
Awe na nidhamu ya kazi
-
Awe tayari kufanya kazi kwenye maduka yaliyopo ndani ya Malls
-
Waombaji wa kike pekee wanahitajika kwa nafasi hii
Mshahara
Tsh 450,000 kwa mwezi
Jinsi ya Kuomba
Kwa mawasiliano na kutuma maombi, tafadhali piga au tuma ujumbe kupitia namba:
0656 116 023
#ZILIZOVUMA: WANAJESHI 6 WA ISRAEL WAJERUHIWA MAPIGANO SYRIA -MAREKANI YADHIBITI ANGA VENEZUELA..
The post Nafasi Mpya ya Ajira: Customer Care Wanaohitajika Mara Moja appeared first on Global Publishers.
Â






