Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwasili katika Kanisa Katoliki la Mwenyeheri Maria-Theresa Ledochowska, Parokia ya Kiwanja cha Ndege, Jijini Dodoma, kushiriki ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama leo, tarehe 13 Desemba, 2025








