

Wasichana wenye talanta ya kuuza na huduma kwa wateja kujiunga na timu yetu ya maduka.
Vigezo / Requirements
Muonekano mzuri na nadhifu
Mwaminifu na waaminifu
Uwezo mzuri wa kuwasiliana na wateja
Uwe mkazi wa Dar es Salaam (Dar es Salaam resident)
Uwe na umri usio zidi miaka 33
Mshahara / Salary
Tsh 350,000
Jinsi ya Kuomba
Tafadhali wasiliana WhatsApp tu: 0747 065803
The post Fursa ya Ajira – Wauzaji wa Maduka, Mikocheni, & Mlimani City appeared first on Global Publishers.







