Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa soko la Bunju B, alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa soko hilo pamoja na ujenzi wa Kituo cha Mabasi, Jijini Dar es Salaam, Desemba 29, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wakazi wa Bunju B wakati alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Soko pamoja na Kituo cha Mabasi, Bunju B jijini Dar es Salaam, Desemba 29, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)









