Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martin Shigela amewasihi wananchi wa Mkoa wa huo kujitokeza kutumia fursa ya kampeni ya kitaifa ya msaada wa kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) ili kusikilizwa na kupatiwa msaada huo. Mhe. Shigela amesema hayo leo Januari 26, wakati wa uzinduzi wa Kampeni hiyo kwaniaba ya Naibu... Read More
Na Ashrack Miraji Fullshangwe Media Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni, ameelezea umuhimu wa kuharakishwa kwa ujenzi wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kilichopo Kata ya Makanya, Tarafa ya Chome/Suji, ambacho kitakuwa mkombozi kwa vijana wengi wasio na ajira pamoja na ambao wamejikuta wakiingia kwenye kilimo na matumizi ya madawa ya... Read More
Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Mhe. Amina Mohamed amewasili nchini na kupokelewa na Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Cosato Chumi kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Mhe. Amina... Read More
Na. Saidina Msangi, WF, Ngorongoro, Arusha. Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro wametakiwa kutumia huduma rasmi za fedha kutunza fedha zao badala ya kutunza nyumbani ili ziweze kuingia katika mzunguko wa fedha na kuongezeka thamani. Rai hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Bw. Hussein Urughu, alipokuwa akifungua mafunzo... Read More
Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamehimizwa kufika na kujipatia huduma ya sheria bila malipo katika Kliniki ya Sheria inayofanywa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa ushirikiano na Kamati ya Kisheria ya Mkoa wa Kilimanjaro katika Viwanja vya Stendi ya Vumbi jirani na Stendi Kuu ya Mabasi ya Moshi. Akizungumza wakati Kliniki hiyo Wakili... Read More
Afisa Usimamizi wa Fedha kutoka Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bw. Stanley Kibakaya, akifafanua kuhusu umuhimu wa kuweka akiba, wakati Timu ya Maafisa kutoka Wizara ya Fedha iliyoambatana na Maafisa kutoka taasisi na wadau mbalimbali, ilipowasili kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha na kuhamasisha utumiaji wa huduma za fedha vijijini,... Read More
Kundi la wadau wa utalii kutoka katika Mkoa wa Dar es Salaam wametembelea Shamba la Miti Saohill liliopo Mkoani Iringa, Mafinga linalosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) ambapo wameweza kuzunguka na kufanya shughuli mbalimbali za utalii. Miongoni mwa shuguli walizozifanya ni utalii wa kuendesha baiskeli (Cycling) na kuweka kambi ya kitalii (Camping)... Read More
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda (kulia) akikabidhi tuzo kwa Meneja uhusiano na Mawasiliano wa Barrick Tanzania Georgia Mutagahywa wakati wa hafla ya tuzo za mlipa kodi bora 2025 ambapo Mgodi wa Barrick North Mara uliibuka kidedea katika uzingatiaji kanuni za kodi nchini Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)... Read More