Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari la wapiga kura Read More
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva Ikulu, Jijini Dar es Salaam Read More
Kylian Mbappe alitumia Instagram kusherehekea miaka 26 ya kuzaliwa kwa rafiki yake wa karibu Achraf Hakimi kitofauti. Mbappe alishiriki picha kadhaa zinazoangazia urafiki wao, ikiwa ni pamoja na picha ya kukumbukwa wakiwa pamoja kwenye Kombe la Dunia la 2022. Alisema “Happy birthday brother. Wish you the best as always. Love you. ❤️” Source Millard Ayo.... Read More