LASSINE Kouma kapewa jezi namba 8 ambayo iliwahi kuvaliwa na mastaa wakubwa katika kikosi hicho akiwemo Haruna Niyonzima kiungo aliyekuwa anafanya watu wadhani mpira ni kazi rahisi. Kouma mwenye miaka 21 anazima dili la Yanga SC kuiwinda saini ya Feisal Salum wa Azam FC ambaye ana nguvu kubwa katika mguu wake wa kulia. Katika Ligi... Read More
Yanga Africa sio tu wanaongeza Technicall Quality wanaendelea Kupunguza pia Umri wa Midfield Yao Kuelekea Msimu Mpya..✍️ Out Khalid Aucho (32) In Moussa Balla Conte (21) ✅ Out Chama Clatous (34) In Allasine Kouma (21) ✅ Wanaendelea Kumuongezea Roman Folz (35) Vijana wenye Uchu Mkubwa wa Kufanikiwa Lakini ni rahisi Kuwa Manage. Wameongeza pia height Read More
Winga Offen Chikola, amesema kwake itakuwa rahisi kujitangaza na kupata soko la kucheza la kulipwa nje ya Tanzania baada ya kujiunga na Yanga. Chikola anasema hata alipopigiwa simu kwa mara ya kwanza na Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said, kwake ilikuwa kama ndoto, kwani kwa uwezo wake alikuwa anatamani acheze kwenye klabu ambayo inaonekana zaidi Read More
“Naamini jina Langu litakumbukwa kama nahodha mwenye mafanikio katika klabu ya Simba kwa kufanikiwa kuipeleka Simba hatua ya Fainali. Najivunia hilo na naimani litaandikwa kwa wino mwekundu”.Mohamed Hussein – Tshabalala. Read More