0 Comment
Na John Bukuku, Dar es Salaam Kampuni ya TotalEnergies Marketing Tanzania Ltd kwa kushirikiana na TotalEnergies Foundation na NafasiArt Space imezindua rasmi toleo la mwaka 2025 la mradi wa VIA Creative, mradi unaolenga kukuza elimu ya usalama barabarani kwa kutumia mbinu za kisanaa kama muziki, maigizo na sanaa za maonyesho, hususan kwa wanafunzi wa shule... Read More