Mhe. CP. Hamad Khamis Hamad, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji amekutana na Mhe. Chandapiwa Nteta, Balozi wa Jamhuri ya Botswana nchini Msumbiji kwa ajili ya kujitambulisha Julai 24, 2025 jijini Maputo. Read More
Mhe. CP. Hamad Khamis Hamad, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – Msumbiji amekutana na Mhe. Dkt. Victor Matemandada, Balozi wa Jamhuri ya Zimbabwe nchini Msumbiji. Lengo la mkutano huo ilikuwa ni kwa Mhe. Balozi Hamad kujitambulisha na pia kujadiliana na Mhe. Balozi Matemadanda masuala mbalimbali ya uhusiano na ushirikiano baina ya nchi hizo... Read More
Msajili wa Baraza la Masoko ya Mitaji Tanzania (CMT) Dkt. Martin Kolikoli akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 24, 2025 jijini Dar es Salaam kuhusu umuhimu wa elimu ya fedha pamoja na kufanya uwekezaji katika masoko ya mitaji ya dhamana na namna bora ya kutatua migogoro ya kifedha itakapojitokeza, kwa ajili ya kupata haki.... Read More
Iramba – Singida Imeelezwa kuwa kukamilika kwa daraja la Masagi linalojengwa katika barabara ya Kibirigi-Masagi kutasaidia kuunganisha vijiji vya Kibirigi, Masagi na Tyeme katika Kata ya Mtoa, Wilaya ya Iramba mkoani Singida. Hayo yameelezwa na Meneja wa TARURA Mkoa wa Singida Mhandisi Ibrahim Kibasa wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa Mradi huo mbele ya Kamati... Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usafiri wa Haraka Dar es Salaam (DART), Dkt. Athuman Kihamia katika mkutano wa waandishi wa habari mara baada ya ziara ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila kituo cha mabasi ya mwendokasi Kimara jijini Dar es Salaam leo Julai 24, 2025. Mkuu wa Mkoa wa Dar... Read More
Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo Julai 24,2025 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ametembelea kiwanda cha kuunganisha magari aina ya FAW cha Rostar Vehicle Equipment Ltd ,wilayani Bagamoyo na ameridhishwa na kazi kubwa inayoendelea kufanyika . Amepongeza wawekezaji hao kushirikisha vijana wa Kitanzania kupata ajira na mafunzo ya kuunganisha magari hayo. “Vijana wana uwezo! Ni wabunifu,... Read More
Na Farida Mangube, Morogoro Wananchi wa Kijiji cha Sesenga, Wilaya ya Morogoro, wanatarajia kunufaika moja kwa moja na ajira, uboreshaji wa miundombinu na uchumi wa mtu mmoja mmoja kufuatia kuanzishwa kwa mradi mkubwa wa uchimbaji wa madini adimu na muhimu (Rare Earth Elements) katika eneo la Mlima Wigu. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema mradi... Read More
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi. Lucy Kabyemera akizungumza na Kamati ya Kusimamia Uteuzi na Nidhamu ya Madalali wa Mabaraza wakati kamati hiyo ilipokwenda kujitambulisha kwake kwa niaba ya Waziri wa Ardhi Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Julai 2025. Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia Uteuzi na Nidhamu ya... Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Global Education Link Ltd, Abdul malik Mollel akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha kuhusu maonesho hayo. …….. Happy Lazaro, Arusha. Taasisi ya uwakala wa vyuo vikuu vya nje Global Education Link Ltd imeandaa maonesho ya elimu ya vyuo vikuu nje ya nchi yanayofanyika katika Hotel ya Fourpoints hotel iliyopo... Read More
*Wananchi zaidi ya 500 wapatiwa majiko ya gesi ya Kg.6 Manyoni* *Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa ahamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia* Ili kufikia lengo la asilimia 80 ya Watanzania kutumia Nishati Safi ya Kupikia ifikapo 2034 kama ilivyoanishwa katika Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia, Serikali... Read More