Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe, Mohamed Mchengerwa ameupongeza uongozi wa Shule ya Sekondari ya Kibaha kwa kuendelea kuwa na matokeo ya ufaulu mzuri huku akiwataka kutoshuka. Read More
Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imetangaza kuwa Mkutano wa Uwekezaji wa Vitega Uchumi Zanzibar kwa mwaka 2025 utafanyika katika Kisiwa cha Pemba kuanzia Mei 7 hadi 10. Read More
Maelfu ya wananchi walijitokeza barabarani, kutoka Ikulu ya Zanzibar hadi Kisiwandui – makao makuu ya Chama cha Afro-Shirazi (ASP) – kushuhudia safari ya mwisho ya Sheikh Abeid Amani Karume. Read More