0 Comment
Na WILLIUM PAUL, SAME. ALIYEKUWA Diwani wa kata ya Bendera wilayani Same mkoani Kilimanjaro kupitia chama cha CHADEMA mwaka 2015-2020, Michael Mcharo (52), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za mauaji ya Edson Shangari (59), mkulima kwa kumpiga risasi tatu mwilini mwake. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro,... Read More