0 Comment
Mwandishi Wetu CHAMA Cha Majaji Wanawake (TAWJA) kimesema kesi za ubakaji na ulawiti zinaongezeka kwa kasi katika mikoa yote nchini na kwamba hali hiyo imekuwa tishio katika jamii. Akizungumza jana Desemba 19,2024 wakati wa kuelekea maazimisho ya miaka 25 ya TAWJA,Mwenyekiti wa chama hicho ambaye pia ni Jaji wa Rufani Barke Sehel amesema miongoni mwa... Read More