Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema ataunda timu maalumu ili kufuatilia hali ya upatikanaji wa huduma ya maji katika eneo la Soni Halmashauri ya wilaya ya Bumbuli. Read More
Familia ya Malcolm X yashtaki vyombo vya sheria vya shirikisho na Idara ya Polisi ya New York (NYPD) kupanga njama ya kumuua kiongozi huyo wa haki za kiraia. Read More
Juhudi za Serikali katika zoezi la uokoaji wa manusura wa ajali iliyotokea jana Novemba 16,2024 ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa 4,Kariakoo Jijini Dar es Salaam Read More
Ili kufikia malengo tarajiwa katika matumizi ya nishati safi ya kupikia, Makamu wa Rais, Mhe.Dkt Philip Mpango amesema ni muhimu uvumbuzi na ubunifu wa vijana ukazingatiwa. Read More
Rais Samia Suluhu Hassan alialikwa kushiriki mkutano wa viongozi wa G20 ukiwa na kauli mbiu inayosema ‘Kujenga ulimwengu wa haki na sayari endelevu’. Read More