0 Comment
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yaendelea kutoa elimu kwa wadau waliojitokeza katika maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba kuhusu maboresho yaliyofanyika katika Mitaala. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Dkt. Aneth Komba alipotembelea katika banda la TET leo Julai 9, 2025, huku akisisitiza lengo la maboresho ya Mtaala huo ni kupata... Read More