Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 27, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 27, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 27, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 27, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe Mwanaidi Ali Khamis ametoa zawadi za Sikukuu ya Christmas na Mwaka kwa niaba ya Rais Samia katika Makazi ya wazee Zanzibar. Read More
Na WMJJWM-Dar Es Salaam Jamii imehimizwa kuwakumbuka watu wenye Mahitaji Maalum katika msimu huu wa Sikukuu kwa kuwapatia zawadi na mahitaji mbalimbali ili waweze kusheherekea kwa furaha Sikukuu za mwisho wa mwaka. Rai hiyo imetolewa Desemba 25, 2024 na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake Jinsia na Wanawake na Makundi... Read More
Wakala wa nyota wa kimataifa wa Uhispania, Dani Olmo, aliibua utata kuhusu hatma yake na FC Barcelona, kabla ya kipindi kijacho cha msimu wa baridi wa 2025. Read More