0 Comment
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV TAASISI ya Doris Mollel Foundation katika jitihada za kusaidia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati, mpaka sasa tayari wamezifikia hospitali 85 nchi nzima katika kuchangia vifaa tiba kama mashine za kupumulia, vitanda n.k, vyenye thamani ya zaidi ya bilioni 1.5. Ameyasema hayo jana Novemba 16, 2024 Dkt. Sylvia Rambo akimwaakilisha Mkurugenzi... Read More