Ili kufikia malengo tarajiwa katika matumizi ya nishati safi ya kupikia, Makamu wa Rais, Mhe.Dkt Philip Mpango amesema ni muhimu uvumbuzi na ubunifu wa vijana ukazingatiwa. Read More
Rais Samia Suluhu Hassan alialikwa kushiriki mkutano wa viongozi wa G20 ukiwa na kauli mbiu inayosema ‘Kujenga ulimwengu wa haki na sayari endelevu’. Read More
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari la wapiga kura Read More
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva Ikulu, Jijini Dar es Salaam Read More