Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limekutana na Mkuu wa Mkoa wa Mara,kuzungumzia usalama wa usafiri wa majini kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa. Read More
Naibu Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu leo ameadhimisha Siku ya Wakulima wa miwa Bonde la Kilombero kwa kuwataka wakulima na wadau wa sekta ya sukari kuwekeza katika teknolojia ya kisasa na ubunifu. Read More