Bunge la Tunisia lilipanga kupiga kura kuhusu marekebisho makubwa ya sheria ya uchaguzi siku ya Ijumaa, siku tisa kabla ya uchaguzi wa rais ambao makundi ya upinzani yanahofia kwamba yataimarisha utawala wa kimabavu wa Rais Kais Saied. Mswada huo unaiondolea Mahakama ya Utawala mamlaka yake ya kusuluhisha mizozo ya uchaguzi. Kuna uwezekano wa kupita katika... Read More
Mbunge wa Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda, akiwa katika halmashauri ya Mpimbwe mkoani Katavi. Read More
“Leo hii Tanzania ina zaidi ya wasichana 4,500 walio katika shule maalum za wasichana zinazolenga kuwajenga wasichana katika mlengo wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA”. Maneno haya yamenenwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan wakati akizindua Shule ya Wasichana Namtumbo na kusalimia Wananchi na Wanafunzi Mkoani Ruvuma, leo tarehe... Read More
Wakati waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, awasili mjini New York siku ya Alhamisi kabla ya hotuba yake kwa mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa, uliopangwa kufanyika Ijumaa asubuhi, huku waandamanaji wanaopinga vita huko Gaza wakikusanyika karibu na makao makuu ya Umoja wa Mataifa. Kundi moja la watu waliopeperusha bendera za Israel na mabango ya... Read More