Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Nchemba (Mb), amerejea wito wa Tanzania kwa Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kukifanya Kiswahili kuwa miongozi mwa lugha rasmi za mawasiliano katika mikutano ya Taasisi hizo. Read More
>Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan yuko tayari kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu maendeleo na ustawi wa nchi. Read More
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Baraka Leonard amewataka Watumishi wa Ofisi ya Bunge kuendelea kufanya kazi kwa weledi na kwa kujituma huku wakizingatia kanuni na sheria za kazi. Read More
Wananchi wapatao 56,000 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro wanatarajiwa kufikiwa na Elimu ya Mpiga Kura kupitia juhudi za asasi za Haki Mwananchi na Mtanzania Foundation Read More