Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akifungua Mradi wa Hoteli wa Bawe Island by Cocoon Collection, Bawe-Zanzibar, leo tarehe 7 Januari, 2025.
Usajili wa madaktari wa wanyama 120 umefutwa na Baraza la Veterinari Tanzania na majina yao yameondolewa kwenye rejesta ya madaktari hao kutokana na kutotimiza matakwa ya kisheria. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa hivi karibuni, na Ofisi ya Msajili wa baraza hilo madaktari hao wamefutwa katika kikao kilichofanyika Tarehe 23 Mwezi Desemba 2024, kufuatia baraza... Read More
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza ratiba ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye mikoa ya Ruvuma, Njombe, Songwe na Rukwa. Read More
Waziri wa Madini, Mh.Anthony Mavunde (Mb) amesimamisha shughuli za uchimbaji zilizokuwa zikifanywa na kampuni ya G & I Tech Mining Company Ltd kwa kipindi hichi cha masika mpaka pale tathmini ya mazingira itapokamilika. Read More
Wananchi wa wilaya ya Songea mkoani Ruvuma,wameishauri Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kuboresha Bustani ya wanyamapori Ruhila Zoo. Read More
Wananchi wa Kata ya Mnadani Halmashauri ya Jiji la Dodoma walifanya usafi wa mazingira mita tano kuzunguka maeneo yao ya makazi na biashara ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya serikali ya kila Jumamosi ya mwisho wa Mwezi. Read More