Na Neema Mtuka Serikali, kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imeanza usambazaji wa umeme katika vitongoji 75 vya Mkoa wa Rukwa, baada ya kukamilisha kusambaza nishati hiyo kwenye vijiji 320 kati ya 339 vilivyopo mkoani humo. Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 15.7 unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 24 na unalenga kunufaisha zaidi ya... Read More
IKIWA ni Sehemu ya Ushiriki wa TIC katika tukio la kimkakati la LandRover Festival 2024 na adhimisho la Kumbukizi ya Kifo cha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa awamu ya kwanza na Mwasisi wa Taifa, Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Kimeshiriki katika Zoezi la Upandaji miti katika eneo la viwanja vya Magereza Kisongo... Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu hatua mbalimbali za upokeaji na uuzaji wa madini ya dhahabu katika Soko Kuu la Dhahabu Geita. Read More
Naibu Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu leo ameadhimisha Siku ya Wakulima wa miwa Bonde la Kilombero kwa kuwataka wakulima na wadau wa sekta ya sukari kuwekeza katika teknolojia ya kisasa na ubunifu. Read More
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Dkt. James Mataragio amewakaribisha wawekezaji kuingia ubia na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ajili ya utafutaji wa mafuta na gesi asilia nchini. Read More