Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imepongezwa kwa ujenzi wa mradi wa Kituo mama cha gesi iliyoshindiliwa yaani Compressed Natural Gas (CNG) na Vituo vidogo viwili vya kupokea na kuhifadhi CNG kwa wateja wa awali. Read More
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akigonga kengele kuashiria kuorodhoreshwa rasmi kwa Hati Fungani ya Benki ya Azania ijulikanayo kama Bondi Yangu, katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) Read More
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (Mb), akiweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Daraja la Sukuma lenye urefu wa Mita 100 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa kilometa 2.3 leo tarehe 20 Desemba 2024. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya (Mb) na viongozi wengine wa Chama na Serikali wakishuhudia zoezi hilo. Naibu... Read More
Baadhi ya washiriki kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Tanzania wamekutana katika kikao cha kuimarisha ushirikiano katika masuala ya Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) Read More