Kitivo cha Uongozi wa Biashara katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimehimizwa kuendelea kutoa elimu ya ujasiriliamali ambayo itasaidia vijana na makundi mbali mbali katika jamii kuweza kujiajiri na kuondokana na dhana ya kusubiri kuajiriwa pale wanapomaliza masomo yao ya chuo kikuu. Akifungua mdahalo wa kitaaluma katika kuadhimisha miaka 30 ya OUT uliokuwa na... Read More