Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imejipambanua kama nchi inayopiga hatua kubwa katika sekta ya afya, hasa katika kuboresha huduma za mama na mtoto. Ni jitihada hizi za serikali, pamoja na mikakati ya kuhakikisha usawa na upatikanaji wa huduma bora za afya, ambazo zimeifanya Tanzania kufanikiwa katika utekelezaji wa malengo ya maendeleo ya kimataifa, ikiwemo... Read More