WAKATI hali ya taharuki ikiendelea kuripotiwa katika baadhi ya maeneo ya Mashariki ya Kati kufuatia mshambulizi ya Israel na Marekani dhidi ya Iran, imeripotiwa wachezaji watatu wa Kitanzania wanaokipiga katika ukanda huo wako salama. Wachezaji hao ni mshambuliaji Simon Msuva anayekipiga Al Talaba ya Ligi Kuu Iraq, Clara Luvanga (Al Nassr, Saudia) na Morice Sichone... Read More

