Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza wakati alipokutana na Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA, wakati wa ziara yake ya kikazi katika Mamlaka hiyo, ikiwa na mara yake ya kwanza Tangu ateuliwe na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kushika wadhifa Read More


