0 Comment
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, ametoa wito kwa vyombo vya habari na waandishi nchini kote kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa weledi na uadilifu wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza nafasi muhimu ya vyombo vya habari katika kudumisha amani, umoja na mshikamano wa kitaifa. Read More