Daktari Bingwa wa Watoto Profesa Karim Manji (katikati) ashinda tuzo ya juu ya Alumni Award of Merit kutoka Shule ya Afya ya Chuo Kikuu cha Harvard Marekani Read More
KATIBU Mtendaji wa Tume ya Taifa ya UNESCO ya Tanzania, Prof. Hamisi Malebo amesema kuwa Tanzania haina ardhi ya Mababu ,Ardhi ya Makabila pamoja na ardhi ya kimila. Read More
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Kassim amewataka vijana wa Kitanzania kutumia fursa za maendeleo ya kidigitali kama njia ya kujitengenezea fursa za ajira na kuacha kutumia mitandao ya kijamii kwa mambo yasiyofaa. Mhe. Majaliwa amewataka vijana kufichua na kuziainisha taasisi zenye nia ovu ya kuharibu na kuvunja mila na... Read More
Na Mwandishi Wetu, Kisarawe MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, amelishukuru Shirika la WaterAid, kwa kujenga miundombinu ya vyoo na sehemu za kunawa mikono katika shule 30 na vituo vya afya wilayani humo. Pia ameahidi kuendeleza na kutunza miundombinu ya kunawa mikono iliyojengwa na Shirika la WaterAid katika kampeni ya kuhamasishaji watu kunawa mikono... Read More
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 15 Oktoba, 2024 amejiandikisha katika Daftari la Mkazi katika kituo kilichopo Kitongoji cha Unyamwezini Kata ya Itumbili Wilayani Magu. Mara baada ya kuwasili katika Kituo cha kuandikisha wapiga kura,Waziri Tax alilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Magu Mhe. Joshua Nasari... Read More
KAIMU Afisa Ustawi wa Jamii Jiji la Dodoma Dkt. Faudhia Mohamed,akizungumza wakati wa Maadhimisho ya siku ya Mwanamke anayeishi Kijijini yaliyofanyika leo Oktoba 15,2024 katika Kata ya Mpunguzi Jijini Dodoma Na.Gideon Gregory-DODOMA KAIMU Afisa Ustawi wa Jamii Jiji la Dodoma Dkt.Faudhia Mohamed ametoa rai kwa wanawake kwenda katika Halmashauri kuchukua mikopo ya wakina Mama inayotolewa... Read More
Na Grace Semfuko, Maelezo. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry Silaa, amesema Serikali imeendelea kuwekeza kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), na kufanya maboresho ya kisera, kisheria na kitaasisi pamoja na kujenga uwezo kwa watanzania, lengo likiwa ni kuifanyia Tanzania kuwa sehemu ya mabadiliko ya teknolojia Duniani. Mhe. Silaa ameyasema... Read More