0 Comment
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awaongoza waombolezaji kutoa heshima na kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa WHO, Kanda ya Afrika, Mhe. Faustine Engelbert Ndugulile, leo Jumatatu, tarehe 2 Desemba 2024, katika Viwanja vya Karimjee, Dar Es Salaam. Read More