Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa ziadi ya shilingi Milioni 500 kwa ajili ya kufanikisha Tamasha la 43 la Kimataifa la Utamaduni na Sanaa tarehe 23 Oktoba 2024, Chuo cha Sanaa Bagamoyo. Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezishauri taasisi za elimu ya juu zilizo nchini kuanzisha kozi muhimu zenye uhitaji na uhaba wa wataalamu, ambazo zitachangia ya nchi. Read More
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) alisema kuwa karibu kila mtu katika Ukanda wa Gaza ana njaa, akiitaja hali hii kuwa “ukatili.” Picha: CNN Read More
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson, Oktoba 17, 2024, amehitimisha rasmi Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika (CICG) Geneva, Uswisi. Read More
Serikali kupitia Wizara ya Madini imeazimia kurudisha minada ya ndani ya madini ya vito itakayofanyika katika maeneo ya uzalishaji hususan Mirerani, Mahenge, Tunduru, Dar es salaam, Arusha na Tanga na kimataifa itafanyika mji wa Bangkok na Jaipur nchini Thailand. Hayo yamesemwa leo Oktoba 16, 2024 na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde wakati akijibu hoja... Read More
RAIS Samia Suluhu Hassan amewapongeza UVCCM kwa kufanya matembezi toka Butiama hadi jijini Mwanza kuadhimisha miaka 25 ya kumbukizi ya Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius Nyerere Read More