Tanzania imechaguliwa kuwa nchi ya kwanza na ya mfano katika utekelezaji wa mpango wa ushirikiano kati ya sekta binafsi na wakulima wadogo wa zao la kahawa. Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, pamoja na ujumbe wake, ametembelea Kiwanda cha INDESSO cha kusarifu majani ya mkarafuu na kutengeneza mafuta kwa matumizi mbalimbali kama vile dawa na manukato, kilichopo Cileungsi, Jakarta, Indonesia. Akiwa katika kiwanda hicho, Rais Dk. Mwinyi amejionea hatua mbalimbali za kusarifu majani... Read More