Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imetangaza kuwa Mkutano wa Uwekezaji wa Vitega Uchumi Zanzibar kwa mwaka 2025 utafanyika katika Kisiwa cha Pemba kuanzia Mei 7 hadi 10. Read More
Hali ilikuwa tulivu wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipowasili eneo hilo pamoja na Waziri wa Ulinzi Dkt. Stegomena Tax na Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega. Hata hivyo, dakika chache baada ya viongozi hao kuondoka, mvua kubwa ilinyesha na kuharibu kabisa njia. Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini, Nathan Belete alipomtembelea ofisini kwake jijini Dodoma Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia historia ya Kiwanda cha kusafisha Mafuta cha Luanda Oil Refinery wakati akihitimisha ziara yake Jijini Luanda nchini Angola tarehe 09 Aprili, 2025. Read More
Maelfu ya raia wa Hispania wamejitokeza kwa wingi katika miji mikuu kama Madrid, Barcelona, Malaga na San Sebastián kupinga kile wanachokiita mgogoro mkubwa wa makazi. Read More
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kuwalipa fidia wananchi waliopitiwa na Miradi ya kufua Umeme ya Ruhudji na Rumakali. Read More
Wachimbaji wadogo wilayani Nyang’wale wameishukuru Serikali kwa kutengeneza mazingira mazuri kwa wawekezaji ambao wanatoa msaada wa kiufundi kwao. Read More